ANGALIA PICHA YA MAMA NA MWANAE WA MIEZI MINNE WACHOMWA MOTO HADI KUFA..

Katika hali isiyo ya kawaida Majeshi ya ugaidi huko Nigeria yaliweza kuvamia kijiji na kusabisha mauaji makubwa, kati ya tukio ambalo linasikitisha ni pale ambapo walimkamata mama mmoja na kumbaka na kisha kumchoma moto yeye pamoja na mtoto wake mdogo mwenye umri wa miezi mi nne tu.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top