MACHESTER United imecharuka katika mchezo wa Ligi Kuu ya England baada ya kuichapa Cardiff City 2-0 na kufufua upya matumani ya kuondoka eneo la hatari la kukosa nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa barani Ulaya msimu ujao.
Ilichukua dakika 6 tu kwa mchezaji mpya Juan Mata kutoa majawabu ya thamani yake kwa mashabiki wa Manchester United baada ya kuchukua mpira na kufanya shambulizi la kushtukiza lililozaa bao la kwanza.
Juan Mata ndani ya man united
Mata alikimbia na mpira na kupiga krosi iliyomkuta Antonio Valencia aliyepiga kichwa mpira na kugonga mwamba kabla na haujamkuta Robin van Perisie aliyefunga baada ya jaribio lake la kwanza kuokolewa na kipa Marshall wa Cardiff.
Sir Alex ferguson akifutialia mchezo
Mata sio tu alikuwa bora bali alicheza vizuri kuliko ilivyotegemewa – akiwa hajacheza mchezo wowote wa takriban mzima, kiwango cheke kilionyesha kuwa Manchester United imelamba dume.
Mata sio tu alikuwa bora bali alicheza vizuri kuliko ilivyotegemewa – akiwa hajacheza mchezo wowote wa takriban mzima, kiwango cheke kilionyesha kuwa Manchester United imelamba dume.
Van Persie akifunga bao la kwanza
Ashley Young anapiga goli la pili
Van Persie akimpisha Rooney dakika ya 63
Man Utd: De Gea, Rafael Da Silva, Smalling, Evans, Evra, Valencia, Jones, Giggs (Cleverley 71), Young, Mata (Januzaj 85), Van Persie (Rooney 63). Subs not used: Lindegaard, Hernandez, Fletcher, Kagawa.
Cardiff: Marshall, McNaughton, Caulker, Hudson (Turner 69), John, Noone (Daehli 78), Medel, Mutch (Kim 52), Whittingham, Campbell, Bellamy. Subs not used: Berget, Turner, Eikrem, Gunnarsson, Lewis.
Post a Comment