Angalia picha zaidi za Daraja la Bunju/Bagamoyo lilivyokatika na kukwamisha wasafiri......

Daraja la bunju limekatika katika kiungio cha mwanzo kwa hiyo hakuna mawasiliano kutoka upande wa Bagamoyo na Dar

Mawasiliano kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo yavunjika baada ya Daraja la Bunju B jiran na bao bao au kwa kipingu kuvunjika Kama unakwenda Bagamoyo nakushauri rudi nyumban hakuna njia! 









Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top