Picha si nzuri.. Wezi wapokea kichapo kibaya Sinza....

Wezi wakiwa chini wakila kichapo cha kimya kimya toka kwa wananchi.
Mwizi akijitetea kuwa ni mpita njia jamani mimi ni mpita njia ‘’’’ tulia wewe tumewachoka alisikika sauti ya kike .

Pichani ni mmoja ya wezi akionesha kitu flani eneo la tukio leo sinza kume kucha.
Jamaa waliwapa mapumziko kidogo wezi hao.


 
Polisi wakiwachukua wezi hao baada ya kula kichapo na mateso kwa masaa mawili
 
Wananchi wakipeana umbea kwa walio kuwepo na wasio kuwepo kila mtu anasema lake
Tukio hili limetokea leo majira ya saa kumi na mmoja alfajiri maeneo ya Sinza kumekucha maarufu kwa jina la DR cool production. Wezi hao walitaka kubomoa duka bila mafanikio ndibo walipo kamamatwa na kujitaidi kukimbia uku wakijikuta wamesha kamatwa kutokana wingi wa watu walio kuwa wakiwai makazini mda huo kutokana kuwai usafiri , hadi tunatoka eneo la tukio wezi hao walipelekwa kituo cha polosi huku wakiwa wazima japo wamechapika mbaya

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top