Angali picha za Ajali ya gari nanenane jijini Mbeya


Gari aina ya tax toyota iliyopata ajali








Roli lilisababisha ajali
tax iliyogongwa na dereva kavunjika mguu

Mmoja kujeruwiwa na kukimbizwa hospitalini jioni hii baada ya gari lake kukogwa vibaya na roli la mizigo ambalo lilikuwa linatoka uyole ya kuacha njia na kuvamia gari hilo dogo aina ya tax.

Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva wa roli na kushidwa kulimudu gari na kusababisha kuama njia.








Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top