Kijana anusurika kuuawa baada ya kukutwa akitaka kumlawiti mtoto wa kiume

Kijana mmoja muda huu ambaye jina lake halijafahamika Mara moja amekutwa Bila aibu Akimlawiti mtoto wa miaka 12 maeneo ya PPF Njiro.

Tukio zaidi tazama hapa chini

Amani Athumani aliyembaka Mtoto wa Miaka 12 muda mchache uliopita


Huyu ndiye dogo ambaye amelawitiwa ana umri wa Miaka 12.




Amani Athumani akiwa Chini ya ulinzi baada ya kukamatwa akiwa anamlawiti kijana wa Miaka 12


Mashuhuda wakiwa wanamshangaa kijana huyo aliyebaka

Wananchi wenye Hasira kali wakiwa wanataka kuanza kumtandika kijana huyo...
Mpaka sasa kijana huyo yupo eneo alililo kamatwa Njiro karibu na PPF.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top