Mama na mwanae wajihusisha na mapenzi ya jinsia moja

"Mimi na Vertasha mwanangu tulianza mahusiano yetu wakati kipindi hicho akiwa na miaka 16 tu.Lakini nilisubiri mpaka afikishe miaka 18 ndipo tungeanza mapenzi kabisa kwa sababu ni umri ambao unaruhusiwa kisheria,sasa tunatembea out bila kificho chochote ili kuwa saidia watu wengine ambao wako kwenye uhusiano wa kishoga/mama na mwana/wasagaji ilio wajisikie huru.Tunataka watu watutambue kwamba sisi tuna mahusiano ya jinsia moja kama kawaida alisema mama huyo"
Sheria zinazuia mahusiano ya kindugu hasa suala la usagaji katika nchi nyingi za kiafrika..
 "Sisi ni wanawake kwa hiyo mimi Vertasha hatuwezi kuzaa watoto tena na tumeridhika na mahusiano yetu "

Vertasha anafurahia mahusiano hayo pia na anasema hivi...!!
"Mama yangu ni mama yangu anafanya vitu ambavyo ni wajibu wa mama kuvifanya,ananinunulia nguo ananinunulia chakula ananiambia nikatandike kitanda ,so imetokea tu tukawa tunafurahia mapenzi kwa pamoja"

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top