Taarifa kamili kuhusu Mahakama kumzuia Davido,Angalia video alichokizungumza Davido

Hii ndiyo taarifa ya Mahakama iliyotolewa jana ya kumzuia Davido kutofanya onesho lolote la Prime Promotion kwani tayari alikuwa keshaingia mkataba na kituo cha Radio Times mkataba wa kufanya onesho hilo
 Mwanamuziki Davido akishangaa mara baada ya kupokea taarifa za kuzuiwa kufanya onesho lake kwenye jukwaa la Fiesta leo hii Jumamosi kwenye viwanja vya Leaders Club.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top