Basi la Sai Baba Express lapata ajali eneo la chalinze

Basi la Sai Baba Express limepata ajali eneo la Pingo, Chalinze leo asubuhi baada ya kutaka kulipita basi lingine wakati mvua ikinyesha na kupelekea basi hilo kupinduka. Basi hilo lilikuwa linatokea Dar likielekea mkoani Mbeya. kwa taarifa za mapema zinasema kuwa hakuna mtu aliyefariki katika ajali hiyo

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top