Chameleone: Siwezi kumuomba Collabo Diamond



Chameleone amesema kuwa application ya Mziiki ambayo Diamond ni balozi wake wa Tanzania ipo kwenye mazungumzo naye ili kumfanya balozi wake wa Uganda na hivyo ilimuomba afanye wimbo na Diamond kama anthem ya Afrika Mashariki.“Lakini we talked about business na hatujamalizana nao. Lakini sio eti mimi nimempigia Diamond na kumuomba tufanye collabo na kitu kama hicho,” amesema Chameleone.
“Wale wa Miziiki app ndo wanahitaji mimi na yeye tufanye kazi ya Mziiki app. Wanajaribu kutuunganisha mimi na yeye tufanye collaboration lakini sio eti mimi nimemu whatsapp na nimemuomba collaboration , that’s not right,” amesisitiza hitmaker huyo wa Valu Valu.

“Am not at a level of asking for a collaboration from any artist in that manner. Sio kwamba sina heshima au kitu kama hicho lakini that’s not the truth, haiwezi kuwa hivyo. I have been doing music for the past 14 years, right? So I am not an upcoming artist.”

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top