Diamond azungumzia mahusiano yake na Wema ndani ya XXL ya Clouds FM leo

Akiwa ndani ya XXL msanii Diamond ndiye aliekuwa jiwe la wiki wiki hii na track yake ya mdogo mdogo, Diamond amezungumzia mahusiano yake na Wema inavyoonekana hadi muda huu bado ni kitendawili maanahakuna anaehitaji kuwema wazi kama wameachana ama laa, kuachana kwo inasadikika kuwa kisa kikubwa ni kuwa Wema alipopewa zawadi ya BMW na meneja wake wakati
huo huo kaka yetu Diamond aliagiza murano kwa bishosti ilimuuma sana tena sana na hiko ndicho chanzo cha mahusiano yao kuanza kubadilika.

Aliongeza pia juzi alikuwa SA kufanya video na Waje na kichupa kitaachiwa soon. Ila kuhusu mahusiano yake na Zari the boss lady alidai kuwa hana mahusiano na huyo mwanadada na alimkaribisha hapa Tz maana inawezekana akaenda Uganda akamkosa Jose Chameleone akamtafuta Zar awe mwenyeji wake maana Diamond ni mkarimu alifanya hivyo hata kwa davido pia

Kuhusu video yake na nyimbo mpya ya Nitampata wapi alisema tu kama wewe mtu mzima utaelewa tu maana nyimbo imejieleza,picha zote kwa hisani ya xxl clouds fm






Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top