Hivi ushawahi kujiuliza mpenzi wako amejifunzia wapi utundu wake?

Kwetu tunaamini mchawi aliyekubuhu, ni yule aliyeuwa watu wengi zaidi au hata ukimuona dereva anakimbiza gari barabarani unaamini ana uzoefu wa udereva wa mda mrefu na atakuwa ameshawahi kuendesha magari mbali mbali.

Sasa linapokuja swala la mahusiano, ninaona watu wanalalamika kuhusu ujuzi wa wapenzi wao. Ingekuwa mimi, endapo mwenzi wangu angekuwa na kiwango kidogo cha ujuzi kwenye maswala ya chumbani, lingekuwa jambo la furaha na kheri.

Pale unapotaka mpenzi wako awe na ujuzi wa PhD katika maswala ya chumbani, wewe unataka awe amejifunzia wapi? Kama unataka mjuzi, nenda kachukue Changu doa ambaye anajua michezo yote.

Dada zetu waliofunzwa wakatulia, na kaka zetu au wadogo zetu waliofunzwa wakatulia lazima watakuwa na ujuzi mdogo na over the time katika maisha yao ya mahusiano (ndoa) wataweza kujifunza na kuimprove taaratibu.

Ukimpata yule anayekupeleka puta, inabidi ukae chini na ujiulize atakuwa amewapitia au amepitiwa na wangapi mpaka akapata utaaalam huo? JAMANI: Sio wote wenye utaalam wa chumbani wanahistoria mbaya ya kwenye mahusiano wengine wmezaliwa na mautundu yao tu sasa usije ukamlaumu mpenzi wako kumbe ni mmoja kati ya wale wachache wenye bahati.

<<<bofya hapa ku-like page yetu kama bado uja-like>>>

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top