Kajala anatamani kuzaa tena..

Mwigizaji Kajala Masanja amefunguka kuwa anatamani kuongeza mtoto wa pili kwani tayari aliyenaye ameshakua vya kutosha.

Kajala alisema anasaka mimba kwa namna yoyote ili mwanaye Paula apate mdogo wake hivyo suala hilo lipo katika mchakato yakinifu na mpenzi wake wa sasa ambaye hakupenda kumwanika jina lake.
< “Natamani kuongeza mtoto wa pili, Paula ameshakua mkubwa lazima tumtafutie mdogo wake mambo ndiyo yatakuwa mazuri zaidi,” alisema Kajala.Mtoto huyo wa awali, Kajala alizaa na prodyuza Paul Matthysse ‘P Funk’ ambaye walishamwagana.
Mwigizaji wa filamu Bongo, Kajala Masanja akiwa na mwanaye Paula.
                 Kama bado Uja-LIKE page yetu bofya hapa kuungana nasi

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top