Noma kweli!!!!.....Akamatwa akifanya mapenzi na sanamu Supermarket

Polisi wamemshikilia kijana aliyekua akifanya mapenzi na sanamu ya kuchezea watoto ndani ya Supermarket moja nchini Marekani.

Sean Johnson mwenye miaka19 alikamatwa na jeshi hilo baada ya kunaswa na wanunuzi wa bidhaa ndani ya Supermarket hiyo ya Walmart akiwa uchi huku akifanya ngono na sanamu yenye maumbile ya kike.

Taarifa ya jeshi hilo ilisema Johnson alikamatwa katika video iliyomuonyesha akiwa yupo busy na sanamu hiyo hadi alipogundulika na baadhi ya watu waliokua wakinua bidhaa.

Inasemekana alipokamatwa aliomba radhi lakini wateja walikataa na kumkokota hadi polisi pamoja na sanamu alilokua akifanya nalo kitendo hicho.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top