AJALI..Basi lagongana na coster Sogea-Tunduma

Watu kadhaa wamejeruhiwa katika ajali iliyolihusisha Basi la Shalom Express lililokuwa likitokea Sumbawanga - Mbeya lililogonga Coaster iliyokuwa inatokea Mbeya- Tunduma eneo la Sogea, Tunduma jioni ya leo. Coster lilikuwa likijaribu ku-overtake lori ndipo lilipogongwa na basi hilo. Idadi kamili ya majeruhi wa ajali hiyo bado haijafahamika.
Endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi kuhusu tukio hili....

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top