Flora Mbasha, amekimbilia mahakama ya hakimu mkazi kisutu Kuomba Talaka

Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Inili, Flora Mbasha, amekimbilia mahakama ya hakimu mkazi kisutu, akiomba kuvunja ndoa kati yake na mumewe, Emmanuel Mbasha. Flora anadai sababu za kuomba kuvunja ndoa hiyo apewe talaka ni kutokana na tabia ya mumewe kumpiga, kumnyanyasa na kushindwa kumpatia matibabu.
Una lipi la kuwaambia wanandoa hawa?

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top