Mwigizaji na mwanamziki maarufu wa kike hapa Bongo, Zuwena Mohamed “Shilole” ambae ni mama wa watoto wawili jana usiku alishereke siku yake ya kuzaliwa maeneo ya Mikocheni jiji Dar na kuvishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa muda mrefu sasa, Nuh Mziwanda ambae pia ni mwanamziki.
Post a Comment