
Siku ya Jana msanii Diamond Platnumz alikuwa ndani ya Uganda kwa ajili ya show ya Zari the bos lady kutoka Uganda, Mapokezi yake yalikuwa ya laana, licha ya magari lakini hiyo furaha aliyokuwepo nayo Zari ilikuwa imepitiliza yani mpaka mwenyewe alikiri lakini story zikawa zinavuma kwenye blogs facebook na twitter lakini hukufanikiwa kuona video hii ambayo nimekuwekea hapa
Post a Comment