Warembo na Mitindo ya kihasara hasa Maeneo ya Mjini

Urembo Siku hizi umepata tafsiri mpya kabisa katika uso wa mitindo ya mavazi. Kwani imeonekana uvaaji wa nguo tata ndio unaweza kuwabeba warembo wengi hususani maeneo ya mijini, hata wale wasiokuwa na mvuto huvaa mazazi hayo ili kupata mvuto. Je wewe una wazo gani juu ya swaa hili..!!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top