Ugumu wa maisha unachangia vijana kujiingiza katika biashara ya Ngono

Kikundi cha watoto wanaoishi katika mazingira magumu ya umasikini, ukosefu wa elimu na ajiri kimejikuta kikijingiza katika biashara ya kujiuza ilikujikimu na hali duni ya maisha.
 Idadi kubwa ya watoto na vijana kujiuza imekidhirisa katika mji mkuu wa Ethiopia, ambapo inasemekana kuwa wanakimbia kutoka vijijini kwao na kujakutafuta maisha mjini ndipo wanapo jiingiza katika biashara ya umalaya na ngono zisizo salama

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top