Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' amenunua Gari hili aina ya Rolls Royce Lenye thamani ya Tshs 367,080,000...

Diamond ameshtua Mashabiki wake tena baada ya kupost picha ya gari kali na la gharama sana duniani Aina ya Rolls Royce kwenye Page yake ya Instagram, Maswali mengi ...yamebaki kwa wengi kuwa je ni amenunua gari hilo au ameamua kuonyesha mapenzi kwa gari hilo na ku share picha yake?

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top