Jamani!! Kila nikikutana na mpenzi wangu nashindwa kufanya nae Mapenzi

Kuna kitu huwa kinaniumiza sana kichwani mwangu kwani kuna mdada mmoja mzuri ameumbika na ana sifa zote nzuri za kike. Tatizo linakuja kila nikikutana nae jogoo ananywea kabisa mpaka kero.

Hapa naandika haya kalala pembeni baada ya kumforce sana jogoo lakini wapi. Sijui tatizo ni nini kwa sababu kwingine jogoo fresh anapiga kazi kama kawa tatizo nikimuita yeye tu lazima jamaa agome kufanya kazi, hii leo ni mara ya nne.


Naombeni ushauri wadau nifanyeje?

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top