Breaking Newzz, Majambazi 5 watiwa mbaroni Dar takiwa na bunduki 2...



Watuhumiwa wa Ujambazi wakiwa wamewekwa chini ya Ulinzi mara baada ya kutiwa mbaroni kwenye mataa ya Red cross katikati ya jiji Dar es salaam mchana huu.

Inaelezwa kuwa Majambazo hao walimvamia na kumpora raia mmoja wa kigeni (Mzungu) maeneo ya Kinondoni na kufanikiwa kukimbia, lakini kumbe wakati wanafanya tukio hilo kuna raia aliwaona na alijitolea kuwakimbiza kwa gari na kufawanikiwa kuwablock maeneo hayo ya Red Cross ambapo huwa na askari wengi wa doria, wamekamatwa na bunduki mbili.





Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top