Vanessa Mdee: Ni kweli Jux ni Boyfriend Wangu

Jux alishakiri kwa upande wake kuwa Vanessa Mdee ni girlfriend wake lakini Vee Money hajawahi kusema kwa mdomo wake mwenyewe kuhusu suala hilo hadi jana, Jumapili.


Vee Money alikuwa mgeni kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM Jumapili hii ambapo mmoja wa wasikilizaji alitaka kujua ukweli wa uhusiano wao.

“Yes Feisal ni kweli, Jux is my boyfriend,” Vee alimjibu msikilizaji huyo.
Sikiliza interview yao kwa kubofya hapa chini

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top