Ajali: Abiria zaidi ya 20 wapoteza maisha na 38 wajeruhiwa vibaya mkoani Dodoma



Abiria zaidi ya 20 wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo, huku zaidi ya abiria 38 wakijeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya SIMIYU EXPRESS walilokua wakisafiria kutoka Mwanza kwenda DSM kupasuka tairi na kuacha njia na kugonga mbuyu na kisha kupinduka.

Taarifa zinasema ajali hiyo ni mbaya sana kuwahi kutokea mkoani Dodoma, hadi hivi sasa bado kuna miili haijatolewa kwenye mabaki ya basi hilo kutokana na kuharibika vibaya na kubaki mithili ya nyama.

MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI,AMINA

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top