Auawa baada ya kuwashambulia abiria wenzake kwa kisu katika Daladala jijini Dar

Mtu mmoja aliyekuwa abiria ndani ya daladala lililokuwa likitoka mjini kuelekea Makumbusho amewashambulia kwa kisu abiria kadhaa ndani ya gari maeneo ya Magomeni na kuwasababishia majeraha makubwa, majeruhi wote wamekimbizwa Mwananyamala. Mshambuliaji huyo ameuawa na wananchi wenye hasira. Hadi sasa haijafahamika nini lililkuwa lengo la mshambuliaji huyo. 

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top