Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo watanzania mpuuzeni, maneno yote tatizo ni urais

 Akihojiwa na redio station mh.Lissu anasema ameshangaa sana maneno aliyoyasema leo kwenye mkutano wake na waandishi wa habari.

    Anasema Dr.Slaa alikwisha kuteuliwa kuwa mgombea urais mwezi January na mwezi April akathibitishwa na kamati kuu,

    Anaendelea kusema ameshangaa Dr.Slaa kusema Gwajima ndo alimleta Lowassa jambo ambalo siyo kweli kabisa, yeye Dr. Slaa mwezi wa tano ndo alianza kumtafuta Lowassa kwa kumtumia Gwajima
Anasema wakati Lowassa anapokelewa tarehe 27 july kwenye kamati kuu Dr.Slaa hakulala nyumbani aliporudi nyumbani mchumba wake alimtupia mabegi nje na DR. alilala kwenye gari.

    Anasema dr. slaa asiwadanganye watanzania tatizo ni urais na mchumba wake.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top