Breaking News: Rais Magufuli Avunja Bodi ya Bandari,Amsimamisha kazi katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi

Rais wa Tanzania wa awamu ya Tano Dkt.John Pombe Magufuli katika kasi yake ya kutumbua majipu hatimaye,amevunja bodi yote ya Bandari na kutengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi mkuu wa bandari Bw.Awadhi Massawe (Pichani), Mwenyekiti wa bodi ya bandari pamoja maofisa 8 wa bandari .Ameagiza wote wawekwe chini ya ulinzi kwa ajili ya uchunguzi

Rais  pia  amemsimamisha  kazi katibu mkuu wizara ya uchukuzi Bw.Shabani Mwinjaka.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top