Wema Sepetu afunguka kuhusu kutoka na Mkongo Man...Aya ndiyo maneno yake


Wema Sepetu afunguka kuhusu tuhuma za kutoka na Mkongo Man apocalypse
"Sijawahi na sitowahi kuwa na mwanaume Mcongo wa aina yoyote ile... Sasa nashangaa watu wameona mimi ndo daraja la kuwapa umaarufu... Im Tired... Huyo apocalypse sijui kitu gani aint my man... I only know him as a friend... So please guys.... Niacheni kidogo tafadhal... Alam-siq...!!! And ontop of all dat I think u all know me by now nikiwa na mtu sijivungi kumtangaza maana huwa I live to please my heart... Mwanaume wangu nadhani anajulikana... Sasa endeleeni kumpa huyo baba attention sababu yeye nako naona kashaona ni kamchezo kakupatia followers... Na nyie mnampa airtime ya kutosha.... So anaendelea... Ananiudhi na mimi kiukweli hadi napata hasira... But nakaa tu kimya... This is too much now..." Wema Sepetu

Mkongo Man anayejiita Apocalypse jioni ya leo alipost meseji kwenye ukurasa wake wa Instagram iliyomtaja Wema Sepetu ikionyesha kuwa kuna kitu kinaendelea kati yao kitu kilichomfanya Wema Afunguke....Soma Hapa Alichoandika Mkongo Man......

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top