Zitto Kabwe: Hasara ya Bilioni 36 zagunduliwa katika kipindi hichi kifupi cha uongozi.....

Tshs bilioni 8 kila mwezi TANESCO bado wanalipa IPTL. Rais haijampendenza kumaliza ufisadi huu. IPTL nadhani ni Jipu la Mgongoni ( kwa kutumia maneno ya Hidaya wa Richard Mabala ).

Rais, kwa kutochukua kwake hatua, ameshaliingizia taifa hasara ya tshs 36 bilioni toka aingie madarakani".-Zitto Kabwe

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top