Mrema awataka bodaboda wampe majina ya polisi wanaolazimisha rushwa.....

Mwenyekiti wa bodi ya Parole nchini, Agustino Lyatonga Mrema, amewataka madereva wa Bodaboda wasijihusishe na maandamano ya kisiasa.

Pia amewaagiza waendesha bodoboda Kinondoni wampe majina ya polisi wanaowalazimisha kutoa rushwa, atayakabidhi kwa Rais Magufuli

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top