Rais Magufuli ahutubia maelfu ya wananchi wa jiji la Mwanza leo....

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mwanza na maeneo ya kanda ya ziwa katika mkutano wa hadhara katika uwanja wa Furahisha eneo la Kirumba jijini humo. 
 
 
Umati wa wananchi ukiwa umefurika kwenye viwanja vya Furahisha jijini Mwanza wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top