Rais Magufuli awasili Dar akitokea Mwanza.....

Mwenyekiti wa CCM, Rais John Pombe Magufuli, akipokewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Alhaji Madabida, (kulia), Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na wanachi kwenyeuwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo asubuhi Agosti 12, 2016. Rais Magufuli anatarajiwa kukutana na watendaji wa chama hicho kwenye ofisi ndogo za makao makuu ya CCM Lumumba na kufanya mazungumzo nao.

(PICHA YA IKULU)

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top