Haya ndiyo maneno ya Diamond baada ya video yake kushika NO 1 TRACE TV....!!!Songa nayo hapa

Leo ni siku kubwa sana kwa msanii wa kizazi kipya Diamond Platinumz na washabiki wake, pamoja na wana-Bongo flava, ambao kila siku tunatamani kuona mziki huu wa nyumbani unavuka mipaka na kwenda mbali, nakuleta heshima nyumbani kwetu, kukuza mapato ya watu wetu na kuzidi kujivunia kilicho chetu...
Haya ni maneno machache ya Diamond Platinumz aliopost leo mchana kwenye account yake ya instagram,... soma hapa chini.
 "Need i say More...???? My Prayers are slowly been answered... Trust me! we getting there... S/O to @trace_inter for keeping that pace of promoting African Music Constant Cc @TraceNigeria #numberOne #1 #wasafi"


TUNAOMBA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU TAARIFA HII!!! 

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top