Taadhari picha zinatisha, Auawa baada ya kupigwa risasi na watu wanaosadikika kuwa ni majambazi... soma zaidi hapa



Tukio hili la kusikitisha limetokea huko nchini Brazil katika mtaa wa Maria Madalena Rodrigues Sampaio Iguacu-Parana   ambapo kijana mmoja aliye julikana kwa jina la Ademir ameuawa kwa kupigwa risasi kichwani na watu wanao sadikiwa kuwa ni majambazi, baada ya watu hao walio kuwa na siraha za kivita kuvamia katika mgahawa wa Sushi ambako marehemu Ademir alikuwa akifanya kazi  kwa lengo la kupora mali.


Kijana huyo alikutwa amekufa ndani ya gari lake baada ya kupigwa risasi ambazo hazikuweza kufahamika kuwa zilikuwa ngapi na mwili wake ulikutwa na majeraha makubwa kichwani ambayo yalisababisha sehemu ya ubongo wake kuonekana.


Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi la polisi inaonyesha kuwa kijana huyo alipigwa risasi na makasha mawili ya kuifadhia risasi yaliokotwa karibu na mwili wake.

Katika uchunguzi wa Polisi kumgundua mtuhumiwa wa tukio hili wazazi wa Ademir waliripoti kuwa mtoto wao alikuwa ni mwema na msema kweli hivyo asingeweza kujihusisha katika matukio maovu na haramu kwa hiyo wanashindwa kuelewa kwanini alifanyiwa tukio la kinyama kama hilo.







TUNAOMBA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU TAARIFA HII!!!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top