MSHAMBULIAJI MPYA WA BARCELONA, LUIS SUAREZ AMEJIKUTA KATIKA WAKATI MGUMU BAADA YA MASHABIKI WA BARCELONA KUMVAMIA AKIWA MTAANI NA MKEWE WAKITAKA KUPIGA NAYE PICHA, ASAINI KWENYE KARATASI NA JEZI ZAO.
HALI ILIKUWA NGUMU ZAIDI BAADA YA DADA MMOJA KUMZUIA KABISA SUAREZ AMBAYE BAADAYE ALISAINI KWENYE JEZI YA LIONEL MESSI ALIYOKUWA AMEVAA MMOJA WA MASHABIKI HAO.
FIFA IMEZUIA BARCELONA KUMTANGAZA SUAREZ KUTOKANA NA ADHABU ANAYOITUMIKIA YA KUMUUMA GIORGIO CHIELLINI WAKATI WA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA.
Post a Comment