Ndugu Issa Ramadhani (36) mkazi wa majengo Manispaa ya Shinyanga aliamua kuchukua jukumu la kujinyonga chumbani kwake kwa kile kinachodaiwa kwenda kupima na kuonekana majibu kuwa ana maambukizi ya virusi vya ukimwi, kabla ya kujinyonga kwake kwa kutumia kamba ya katani alimtuma mkewe kwenda kwa wazazi wake huku nyuma akachukua jumkumu la kujinyonga huku akicha ujumbe wa maneno kuwa NIMEAMUA KUJINYONGA na simu yake ya mkononi ikiwa kitandani.
Mwili wa marehemu Issa ukiwa umebebwa kwa kupelekwa mochwari atika hospitali ya mkoa wa Shinyanga.
Mwili wakiutoa nyumbani baadhi ya majirani na kuupeleka kwenye gari la polisi tayari kuusindikiza mpaka mochwari kuhifadhiwa huku wakisubiriwa ndugu na jamaa kufanya taratibu za mazishi.
Post a Comment