Biashara ya Ngono imeshamiri mpaka wateja wameamia teknolojia mpya ya mitandao ya Kijamii, na vile vile ugumu wa maisha wasababisha vijana wa kike hujiingiza katika biashara hii hatarishi ya afya zao"Ngono". Na wanajikuta wanapoteza mwelekeo wa maisha yao ya baadae ikiwemo kushindwa kupata wenzi wa maisha na mambo mengine kama hayo.
Post a Comment