Mwalimu
wa shule moja huko Kilimanjaro jina kapuni kwamaadili ya kazi yetu
amefikishwa katika kituo cha polis kwa kosa la mtaka mwanafunzi
kimapenzi baada ya mwanafunzi huyo kufanya kosa ili tu asimpe adhabu..
Katika
kesi hiyo ambayo mwalimu huyo alijitetea kuwa akuwa akimaanisha kumtaka
kweli ila tu alikuwa anamtania mwanafunzi wake huyo na ndipo wazazi wa
mwanafunzi huyo walipokasirika kwa kusikia hivyo na wanataka kesi
ipelekwe mahakamani na bado haijatajwa siku ya kupelekwa mahakamani
Kwahabari zaid bofya hapa
Kwahabari zaid bofya hapa
Post a Comment