Mwigizaji Aunty Ezekiel amejitokeza kwenye Gazeti moja maarufu Bongo na kupinga vikali tetesi ya kuwa ujauzito aliyonao ni wa Mh Waziri Nyalandu , Aunty amesema maneno haya hapa kwa uchungu mkubwa..
“Kuna binadamu hawajali maumivu ya mtu mwingine, inawezekanaje mtu aanze kuropoka kitu kizito kama hicho tena mtu na familia yake, sasa mtu ambaye ndiye muhusika wa ujauzito huu anajisikiaje?
“Ukweli mimba yangu siyo ya waziri, ifahamike kuwa namheshimu sana mheshimiwa, najisikia vibaya mtu anapoeneza kitu cha namna hiyo,” alisema Aunt Ezekiel
“Ukweli mimba yangu siyo ya waziri, ifahamike kuwa namheshimu sana mheshimiwa, najisikia vibaya mtu anapoeneza kitu cha namna hiyo,” alisema Aunt Ezekiel
Post a Comment