Siku zilizosalia za Diamond kuitwa ‘baba’ zinaendelea kuyoyoma. Zari The Boss lady, mchumba wake staa huyo wa ‘Mdogo Mdogo’ anayetarajia kumpa mtoto wake wa kwanza ameendelea kuonekana kama wasemavyo waingereza ‘very pregnant’.
Mrembo huyo wa Uganda ameshare picha kwenye ukurasa wake wa Facebook inayomuonesha jinsi kitumbo chake kinavyozidi kuwa kikubwa.
Post a Comment