Huseni Machozi anaswa na mhepuko wa kizungu, Baada ya kumtelekeza mkewe...

Kama ulikuwa unajiuliza Hussen Machozi yupo wapi baada ya kupotea kwenye ramani ya muziki basi leo liko hapa endelea nayo....
Hivi karibuni mwanamke mmoja wa Mombasa alisikika kwenye vyombo vya habari na kusema walifunga ndoa na Hussein machozi kwa siri na baada ya ndoa ndipo Hussein Machozi akamtelekeza ..

Sasa habari mpya ni kuwa Hussein Machozi ametulia kimapenzi kwa Mzungu, ameshikiliwa Kinoma kiasi cha kwamba afurukuti kwa mzungu huyo..na kushikilliwa huko kumepelekea kupotea katika fani yake ya muziki kwa muda sasa.. Amakweli mahaba ni noumaa...

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top