Wale vijana wenzangu mnaopenda majimama (sugar mumiz) mkubali makofi, makonzi sometimes mitama hadharani, pia hata kufokewa hadharani.
Maana wengi wa hawa majimama wana stress za kutosha lakini usisahau ndo yanayowaweka baadhi ya vijana mjini kwa kila kitu, la muhimu ukishagombezwa we jidai kujichekesha tu ili mambo yaishe.
Pia nawasihi sana baadhi vijana tusiwapende hawa majimama tutafute maisha yetu, tusipende maisha ya bure kwani tunaweza kupata madhara mengi ikiwemo magonjwa UKIMWI na kukosa vijana wa kujenga taifa.
Pia nawasihi sana baadhi vijana tusiwapende hawa majimama tutafute maisha yetu, tusipende maisha ya bure kwani tunaweza kupata madhara mengi ikiwemo magonjwa UKIMWI na kukosa vijana wa kujenga taifa.
Post a Comment