Hii ndiyo story ya Nay wa mitego ambayo imeshika chart katika mitandao ya kijamii..Usipitwe nayo



Siwema ambaye ni mzazi mwenzake na Nay wa Mitego alikuwa wa kwanza kuweka post kwenye ukurasa wake Instagram.. aliandika kwamba Curtis ambaye ni mtoto wa Nay sio mtoto wa msanii huyo ila baba yake anaitwa Obasanjo.

Kingine Siwema amelalamika kuhusu Nay ambaye ni mzazi mwenzake kumnyanyasa na pia kuongea vitu ambavyo sio kweli ikiwemo Nay kusema kwamba alimnunulia gari.


Nay muda mfupi aliandika pia kwenye ukurasa wake wa Instagram; “Huyu ni malaika wa Mungu… Hajui chochote.. Km kuna mtu anasema ni wake aje amchukue nitampa bila malumbano,, Am a gentleman. Nawapenda wanawake wote mnaojitambua“– @naytrueboy


Story ya Nay wa Mitego kumchukua mtoto wake ilisikika kwenye AMPLIFAYA March 17 2015 akisema anamchukua mtoto wake ili akalelewe na mama yake lakini hana ugomvi wowote na mzazi mwenzake.
 



Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top