Mwanamke akamatwa na kupigwa kipigo kikali kwa tuhuma za kuiba LCD TV




Mwanamke anaye kadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 29-34, amekamatwa na kupewa kipigo kikali kwa kile kinachodaiwa kuwa na mwizi wa LCD TV, Tukio hili ilitokea Jumatano ya wiki iliyopia katika maeneo ya Old State baada ya mwanamke huyo kuonekana akiingia katika nyumba moja ya mtaa huo kupitia dirisha na ndipo watu wakakaa na kusubiri atatoka na nini.... na ndipo alipotoka na LCD TV bila ya aibu na kukuta umati ukimsubiri kwa hamu kubwa na kupa kipondo cha maaana..


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top