CNN ni mada inayotrend nchini Kenya kwa sasa na hiyo ni baada ya CNN kutangaza na kuandika habari iliyowakera.
CNN imedai kuwa taarifa yake ya habari kuwa wasiwasi wa usalama unazidi kuwa mkubwa wakati Rais Barack Obama akijiandaa kwenda nchini humo ambako imesema ni ‘kitovu cha ugaidi.’
OBAMA’S TRIP RAISES SECURITY CONCERNS
“President Barack Obama is not just heading to his father’s homeland, but to a region that’s a hotbed of terror,” wameripoti CNN.
Taarifa hiyo imewaudhi wakenya wengi ambao wanaiona CNN kama kituo kinachoichafua nchi hiyo.

Post a Comment