Mkaguzi wa TAKUKURU afariki ajalini akielekea kuchukua fomu za kuwania Ubunge Njombe



Conrad Mtenga aliyekuwa na cheo cha Mkaguzi wa kanda wa TAKUKURU ametaarifiwa kuapata ajali na kufariki dunia akiwa njiani kwenda Njombe kutangaza nia ya kuwania Ubunge. Taarifa zinasema kuwa gari hilo liligongana uso kwa uso na lori aina ya Scania.

Familia yote imelazwa ICU (mke na watoto).
Amefariki yeye mwenyewe na meneja wake wa kampeni.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top