UKAWA hii inawahusu sana kama mnataka kuishinda CCM urais mwaka huu 2015



UKAWA Kama kweli mnampango wa kuishinda CCM naomba muunganishe nguvu na mh. Edward lowassa, hii ni kwa ajili ya kuiangusha CCM kwakuwa nawaambia ukweli hata katika mitandao ya kijamii anaezungumzika ni Mgufuli na Ndugu Lowassa na sio Lipumba,Slaa wala mbowe na mbatia hii inaonyesha nguvu ya upinzani ipo kwa lowassa hivyo ni vizuri kufuata ushauri huu kwa sababu mtaweza kukishinda chama cha CCM kupitia CCM wenyewe

Najua kuna wengi ambao watakuja kuchangia hapa kwa ubaya na matusi lkn huu ndio ukweli fanyeni hilo kama mnataka kuwatumikia wananchi sambamba na kuiondoa CCM madarakani LA SIVYO hamtafanikiwa na haswa mkitaka kufuata watu hapo chini wana comment nini, coz huwezi jua anaecomment ni kada wa CCM au laa hivyo huu ni ujumbe wangu kwenu UKAWA, mkidharau hili hamtafanikiwa.

Homa iliyopo CCM ni kama Lowassa atajiunga kwenu hivi sasa wanatafuta deffensive points za kuzungumza kuhusu lowassa kama akijiunga na ukawa maana tetesi zimefika lkn wamekosa deffensive points against lowassa coz kila watakacho jaribu watajisema wao.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top