Maelfu ya wananwake Mkoani Arusha wamejitokeza kuungana na viongozi wa Baraza laTaifa la wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA BAWACHA-kuwataka wanawawake kote nchini kuunga mkono kwa vitendo,sera ya mabadiliko kwa kumchagua EDWARD LOWASA na viongozi wengine wa Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA ili watimize ndoto za kuwakomboa katika lindi la umasikini.
Post a Comment