Mgombea mwenza kupitia chama cha Mapinduzi Samia aongea na wananchi wa Kongwa,Chawino na Mpwapwa Mkoani Dodoma na kuwaomba Kura

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Shamrashamra za ngoma zikirindima, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano wakampeni, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Shamrashamra za mapokezi zilitia fora, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
Mmoja wa wajumbewa Kamati ya Kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Ummy Mwalimu, akihamasisisha, wakati, Mgombea huyo Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
Kina Mama wa Kigogo wakiwa wamejipamba sura zao kumpokea Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kufaya mkutano wakampeni, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwa ameketi meza kuupamoja na baadhi ya viongozi baada ya kuwasili kufaya mkutano wakampeni, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Shamrashamra za ngoma zikiendelea baada ya Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akipew zawadi ya mbuzi alipowasili kufaya mkutano wakampeni, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Wananchi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowahutubia kwenye mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
Vijana wakiwa wamelazimika kupanda mti ili kumuona vizuri, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipohutubia mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi waliosimamisha msafara wake akiwa njiani kwenda Kingwingwili Kongwa wasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo. 
Vijana wakiwa wamelazimika kupanda miti ili kumuona vizuri, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Kingwingiwili, jimbo la Kongwa, mkoani Dodoma leo.
Mbunge wa Kongwa mkoani Dodoma, Job Ndugai akimwaga sera, wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, uliofanyika katika eneo la Kigwingwili leo
Mwanachama wa Chadema akiwa katika sare ya Chama hicho kwenye mkutano wa mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, uliofanyika katika eneo la Kigwingwili leo. 
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika eneo la Kigwingwili leo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, akiwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Mazae jimbo la Mpwpwa mkoani Dodoma leo.
Mjumbe wa NEC, Evodi Mmanda akihutubia mkutano wa kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia uliofanyika eneo la Mazae jimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma leo
Mmoa wa wajumbe wa Kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Angela Kairuki, akihutubia mkutano wa kampeni za mgombea huyo, Mama Samia, eneo la Mazae katika jimbo hilo leo.
Aliyekuwa mgombea kutafuta ridhaa ya kuwania Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Nkenge Asupta Mshama, akitoa vidonge vyake wakati wa mkutano huo
Wananchi wakishangilia Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, alioohutubia mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Mazae, jimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma leo
Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na kadi za Wanachama saba wa Chadema waliomkabidhi baada ya kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Mazaejimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwapokea baadhi ya wananchama hao saba wa Chadema waliomkabidhi kadi zao baada ya kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Mazaejimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top